Kuna majumba yao yanaofahamika kama Grand Lodge Ambayo yapo Dar es salaam ,Arusha,Moshi,Mwanza,Zanzibar mikutano myote ya freemason yana fanyika kwenye majumaba yao
Mason wana fanya kazi kwa pamoja kwenye lodge au tempo zao ilikuimalisha imaya zao,ifuatiwa na maswala ya sherehe na alama zao shere kwao ni muhimu sana hasa wanapo mtambulisha mtu mpya au kupandisha mtu daraja moja adi jingine
0 toamaon yako: